Top Stories

“Hili suala likizungumzwa hapa wote mnasimama, siwezi waruhusu”-Mbunge Shally Raymond

on

November 12, 2018 mkutano wa kumi na tatu wa Bunge la kumi na moja umeendelea Dodoma ambapo wabunge walikuwa wakijadili mpango wa maendeleo 2019/20 ambapo Mbunge wa viti maalum CCM Shally Raymond ameitaka Serikali kuboresha miundombinu ya maji nchini ili kuwasaidia wananchi wake.

Duuh! Unaambiwa baridi ya Mbeya ni fursa tosha, “Tumsaidie Rais Magufuli”

Soma na hizi

Tupia Comments