Top Stories

Wananchi 17,598 wameshapokea Passport mpya

on

Leo June 8,2018 mkoa wa Kagera umezindua zoezi la utoaji wa Passport za kusafiria kwa mfumo wa kielektronic ambalo litakuwa zoezi endelevu Tanzania nzima.

Zoezi hilo limezinduliwa na Kamishna wa Uraia na Passport Taifa Gerald Kihinga na kusema kuwa mpaka jana zimeshatolewa Passport mpya za kisasa 17,598 kwa idara mbalimbali na ametumia nafasi hiyo kuwasihi wananchi na watumishi wote kutotoa Passport hizo kwa watu amabao sio raia na atakayekiuka hawatamvumilia.

Tusikutane katika misiba, tungeweza kuchelewesha vifo vya Maria na Consolata’ Mwenyekiti Iringa

Soma na hizi

Tupia Comments