Top Stories

PICHA: Kilichowafanya MultiChoice Tanzania kupata Tuzo maalum

on

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harison Mwakyembe amemkabidhi Mkuu wa Uhusiano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana tuzo maalum iliyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania kutambua mchango mkubwa wa kampuni hiyo katika sekta ya filamu hapa nchini.

Hiyo ilikuwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi mpya ya Ushauri ya Bodi ya Filamu Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Odama BongoMovie haijafa ni upepo tu, Tanga nisubirini Iddi Pili

Soma na hizi

Tupia Comments