Top Stories

ULGSP 2: Kipi hatukijui, Wananchi wa KIBAHA wamefungunguka

on

Kabla ya Mradi huu wa ULGSP haujaibuliwa kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI, Leo June 10, 2018 wananchi wa Kibaha wametueleza changamoto walizokuwa nazipitia.

Pia Kaimu Mweka Hazina Kuruthumu Jumma ametueleza kabla na baada ya Mfumo manufaa wanayopata.

“Mradi wa Uboreshaji wa Halmashauri za Miji” (Urban Local Government Strengthening Programme) ULGSP, unaotekelezwa katika Halmashauri 18 nchini kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ambao ndiyo msimamizi mkuu. Bonyeza PLAY kutazama 

ULGSP 1: Kama utapita KIBAHA, Usishangae, Muonekano Mpya wa kituo cha Mabasi

Soma na hizi

Tupia Comments