Top Stories

Mbunge ameuawa nchini Uganda

on

Leo June 9, 2018 Mbunge Ibrahim Abiringa ambaye ni miongoni mwa viongozi waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba, ameuawa kwa kupigwa risasi na Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana nchini Uganda.

Mwanasiasa huyo wa chama tawala cha NRM na mlinzi wake waliuawa karibu na nyumba yake huko jijini Kampala.

Jeshi la Polisi nchini humo limeagizwa na Rais Yoweri Museveni kuwasaka waliomuua Mbunge huyo na kuwafikisha mbele ya sheria.

Tazama LIVE mapya aliyoibuka nayo Dr. Shika akizungumza na Waandishi ‘Tutaelewana’

Soma na hizi

Tupia Comments