Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

BREAKING: Wanafunzi 10 wa JKT wamefariki katika ajali Mbeya

on

Leo June 14, 2018 Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa limebeba Wanafunzi wa JKT waliokuwa wanatoka Tabora kuelekea Mbeya kwa ajili ya mafunzo limepinduka katika eneo la Igodima wilayani Chunya mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya Mussa Taibu amethibitisha kutoea wa vifo vya watu 10 nakusema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva pamoja na ubovu wa gari.

Kamanda Twaibu amesema Majeruhi katika ajali hiyo ni 200

BREAKING: Polisi yatoa onyo magari JWTZ, Polisi na ambulance yanayovunja sheria

Soma na hizi

Tupia Comments