MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Sababu ya TFDA kuchangia damu baada ya miaka 15

on

Leo July 11,2018 tunayo kutokea Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) ambapo imeadhimisha miaka 15 kwa kujitolea damu.

Akizungumza na Ayo Tv, Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Umma TFDA, Gaudensia Semwanzi amesema wameamua kutoa damu kwa sababu wanajua umuhimu wa damu hasa kwa wajawazito.

“Sisi tunashughulika na wananchi ambapo tumekuwa tukijitolea katika mambo mbalimbali ikiwemo kuchangia damu,” amesema Gaudensia

BREAKING: Ambulance imekamatwa na KILO 800 za Dawa za Kulevya

Soma na hizi

Tupia Comments