Premier Bet

Top Stories

Rais Magufuli alivyomhoji Mkuu wa Mkoa kwa njia ya video “Vipi suala la Tunduma” (+video)

on

Leo May 21, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amewasili Makao Makuu ya Shirika la Simu Tanzania (TTCL) Extelecom House Jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na kuzungumza na Wakuu wa Mikoa 5 kwa njia ya Luninga (Video Conference) atapokea gawio la shilingi Bilioni 2.1 la kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

BASI LA ARUSHA EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO

Soma na hizi

Tupia Comments