PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mapya yaibuka kesi ya Amber Rutty na Mumewe “upelelezi umekamilika” (+video)

on

Upelelezi wa kesi ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Rutty’ na mumewe Said Mtopali umekamilika katika Mahakama ya Kisutu hivyo kesi hiyo imeahirishwa hadi March 7, 2019 kwa ajili ya kuwasomea maelezo ya awali.

LIVE MAGAZETI: Dawa ya kumtuliza Lissu, Nape “sipingani na JPM”

 

Soma na hizi

Tupia Comments