Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Maajabu Tanga maji yanayochemka, ushirikina watawala | Ng’ombe zachinjwa (+video)

on

Eneo la Majimoto lililopo katika Kata ya Mzizima Wilayani Tanga lenye kivutio cha aina yake  ambapo kuna chanzo kidogo cha maji mfano wa chemchem lakini tofauti yake maji hayo ni ya  moto na yanachemka muda wote kama yapo jikoni kwa muda wote.

Eneo hilo badoWizara ya Maliasili na Utalii bado haijaliwekea udhibiti hivyo liko chini Zubery Said ambaye ni Mhifadhi wa Majimoto.
 
Kutokana na maji hayo kuonekana kama ya ajabu waganga wa jadi wametumia fursa hiyo kama la kuagulia wagonjwa mbalimbali na inasemekana baadhi ya wagonjwa hufanikiwa wa kuaguliwa pia ya Viongozi wamekuwa wakienda eneo hilo kwaajili ya kuomba vitu mbalimbali hususani kipindi  uchaguzi.
 
DEREVA MWANAMKE ALIVYOWAKIMBIA MAJAMBAZI MBUGANI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
 

Soma na hizi

Tupia Comments