Top Stories

James Bwire anatoa ufafanuzi kuwachapa viboko Wanafunzi wa timu yake

on

Mmiliki wa timu ya Wasichana na Wavulana Alliance Adacamey, James Bwire ametolea ufafanuzi taarifa za yeye pamoja na Wafanyakazi wake kusemekana wamewachapa viboko Wanafunzi wake wa kike ambao ndio wanaunda timu ya Wasichana ya Alliance Girls Football Club, baada ya kudai posho zao na muda wa kupumzika.

Mbunge Ileje apokea msaada utakaowaokoa Wanafunzi kulalia Mikeka

 

Soma na hizi

Tupia Comments