Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Eneo maarufu kwa uchomaji wa Nyama ya Mbuzi Arusha

on

Leo May 17, 2018 nakusogezea eneo maarufu kwa uuzaji wa nyama choma ya Mbuzi mkoani Arusha kwa Moromboo eneo lililojizolea umaarufu mkubwa ndani ya mkoa huo hata nje kwa uchomaji wa nyama hiyo kwa bei nafuu.

AyoTV pamoja na millardayo.com imefika eneo hilo na imekuwekea kila kitu kwenye hii video.

Kamanda wa ‘Shambulio la Aibu, kujikoolesha’ ahamishwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments