Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Yametimia maneno ya mchambuzi mkongwe Dr Leaky kuhusu Champions League

on

Real Madrid wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Liverpool na kufanikiwa kutetea taji lao la UEFA Champions League kwa mara ya tatu mfululizo, magoli ya Real Madridi yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 51 na Gareth Bale aliyefunga magoli mawili dakika ya  64 na 83, goli pekee la Liverpool lilifungwa na Sadio Mane dakika ya 55, kabla ya game AyoTV iliongea na mchambuzi mkongwe wa masuala ya soka Dr Leaky Abdallah ili kupata tathmini yake.

Billnass amemtaja aliamua game ya Liverpool na Madrid “Mpira fitna”

Soma na hizi

Tupia Comments