Michezo

Watanzania wanaendelea kuyaona matunda ya kuchangamkia fursa

on

Baada ya mshindi wa droo ya kwanza ya shinda zaidi na SportPesa kutokea Pangani, droo ya 34 pia imetoa mshindi toka eneo hilo, Masoud Yusuph (29) hatimaye amekabidhiwa bajaj yake baada ya kushida katika promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa ambapo zawadi mbalimbali hutolewa mara baada ya mchezaji au shabiki wa michezo akiweka ubashiri wake mara baada ya kuweka pesa kwenye akaunti yake ya SportPesa .

Akizungumza na timu ya ushindi mshindi huyo alielezea furaha yake mara baada kukabidhiwa bajaj na kudai kuwa hiki ndio kipindi cha kuanza mipango mipya yenye kuleta mabadiliko makubwa kwenye maisha yake

“Nimefurahi sana kuwa miongoni mwa watu wenye bahati kubwa ya kushinda bajaj, ambayo naamini itanisaidia sana kuboresha maisha yangu vile nimekuwa nikishuhudia wengine wakishinda nilikuwa siamini ila sasa mimi ndio ntakuwa balozi wa SportPesa kwa wale ambao hawaamini kuwa huu ni ukweli” >>> Masoud

Hata hivyo masoud alisema sababu nyingine iliyomfanya kujiunga na SportPesa ni kutokana na urahisi wa kucheza na mtu anaposhinda haichukui muda kupokea pesa yake ya ubashiri.

“Kwa sasa nimemaliza upande wa bajaj nguvu yangu naihamishia kwenye jackpot kwani imani yangu ni kuona siku moja nashinda mamilioni ya jackpot hii kwangu itakuwa zaidi ya mabadiliko ntafanya maendeleo makubwa kweli kweli ” >>>Masoud

Akizungumza juu wa ushindi huu Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya alisema “hata wewe ni mshindi na kumbuka kupanga ni kuchagua na ndio maana wadau walioichagua SportPesa wanashinda kila siku, Ukiweka ubashiri wako na SportPesa kwanza kabisa unaweza kushinda ubashiri wako na kujipatia fedha hata ukikosea ubashiri wako pia unaweza kujiongezea faida kwa kujishindia zawadi mbalimbali”

Kushiriki piga *150*87# j bila kusahau kuweka pesa kwenye akaunti yako na kuweka ubashiri ili upate nafasi ya kushinda.”

Hakuna anayemkuta Samatta kwa sasa Jupiter Pro League 2018/19

Soma na hizi

Tupia Comments