Tangaza Hapa Ad

UEFA imeipanga KRC Genk ya Samatta kundi moja na Athletic Bilbao


August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya UEFA Europa League, UEFA imepanga Makundi 12 tayari ambapo timu 48 zimepangwa nne nne kwa kila Kundi. KRC Genk ya Ubelgiji inayochzewa na mtanzani Mbwana Samatta imepangwa Kundi F pamoja na Klabu ya Athletic Club Bilbao ya Ligi Kuu Hipania.

WhatsApp Image 2016-08-26 at 15.30.24

GOALS: TP MAZEMBE VS YANGA AUGUST 23 2016

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement