Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha 20: Fainali ya Miss Tanzania 2016 mwanzo mwisho Mwanza

on

Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana  Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30, millardayo.com inakupata picha za tukio zima na Ayo Tv itakusogezea tukio zima.

3x6a0495

3x6a0504

3x6a0520

3x6a0491

Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala, Miss Tanzania 2015 Lilian Kamazima, Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu pamoja na Dr. Sebastian Ndege.

3x6a0535

Christian Bella alialikwa kutoa burudani

3x6a0563

3x6a0500

3x6a0487

3x6a0472

3x6a0428

Host alikua Jokate Mwegelo

3x6a0574

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu

3x6a0606

Top 5 ya Miss Tanzania 2016 ikiwa na Miss Tanzania wa 2015 Lilian Kamazima

3x6a0615

Mshindi wa Miss Tanzania 2016 akivishwa taji na Lilian Kamazima Miss Tanzania 2015.

3x6a0622

Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai

3x6a0631

Top 5

3x6a0662

3x6a0659

3x6a0650

Zawadi ya Miss Tanzania 2106

3x6a0652

ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFU KUTENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI? UNAWEZA UTAZAMA HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement