Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 30: Warembo watakaoshindana kumtafuta Miss Tanzania October 29

on

Mtu wangu najua wengi tumemisi kuona mashindano ya Miss Tanzania, leo October 26 2016 millardayo.com imekusogezea picha 30 za warembo ambao watazitengeneza headlines kwa mara nyingine na  October 29 2016 ndiyo siku rasmi ambayo imepangwa  kufanyika kwa shindano hilo la kumtafuta Miss Tanzania  Mwanza,

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa mashindano hayo nje ya Jiji la Dar es salaam, Pia mtu wangu usisahau kuiachia comment yako hapa chini.

1-23 1-22 1-21 1-20 1-19 1-18 1-17 1-16 1-15 1-13 1-12 1-11 1-10 1-9 1-8 1-7 1-6 1-3 1-2 1-24 1-25 1-26 1-27 1-28 1-29 1-30

ULIKOSA MISS IFM KWA MWAKA 2016 ALIVYOPATIKANA NA BURUDANI KUTOKA  KWA NAVY KENZO,?UNAWEZA KUIANGALIA  VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement