Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

Video ya dakika 2 tukionyeshwa kwa nje alikoishi Michael Jackson kabla ya kifo


Ni miongoni mwa Mastaa wa dunia walio na rekodi ya kuingiza pesa nyingi wakiwa hai na hata wakiwa wameshafariki, AyoTV na millardayo.com zilipitishwa nje ya nyumba aliyokua akiishi Michael Jackson miezi 6 kabla ya kufariki, bonyeza play hapa chini kuitazama.

EXCLUSIVE VIDEO: Tazama gari jipya alilonunua Dogo Aslay... bonyeza play hapa chini kwenye hii video

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement