PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Mkiwaona JWTZ, FFU msishtuke | Mikono inawasha sana na tuna hamu

on

Leo September 15, 2018 Kuelekea Uchaguzi wa marudio siku ya Jumapili Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amezungumza na waandishi wa habari akitoa tahadhari kwa Wananchi kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.

RC Chalamila amewatahadharisha wananchi juu ya mazoezi yatakayokuwa yakifanywa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika maeneo mbalimbali mkoani humo kwa siku mbili isipokuwa siku ya uchaguzi itakapofika.

BREAKING: RC MAKONDA abaini utapeli mpya DSM ‘Wanatumia hati za nyumba’

Soma na hizi

Tupia Comments