PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mtanzania abuni Choo kinachotembea cha Mastaa na Viongozi (+video)

on

Kijana Adam ni fundi makenika aliyejichukulia umaarufu kwa kutengeneza vitu vikubwa viwili vya kipekee ikiwemo na Helkopta na Gereji inayotembea ambayo inawasaidia Madereva wanaokwama kati ya Tanzania nchi ya Zambia na kufanya kazi kwa saa 24.

Leo tunae katika Exlcusive akiongelea kuhusu ubunifu mpya ambao anakuja nao wa kutengeneza choo kinachotembea ambacho kitakua na sehemu mbili za VIP na watu wa kawaida ambapo anasema gharama zake zitakua za kwaida na kila Mwananchi anaweza kulipia.

ALIETENGENEZA HELIKOPTA YAKE, AMEBUNI GEREJI INAYOTEMBEA NCHI MBILI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments