Habari za Mastaa

Alichofanya Mwakyembe baada ya kuonja MO FAYA

on

Usiku wa May 15, 2018 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa urushwaji wa matangazo ya Kombe la Dunia kwa lugha ya kiswahili katika vituo vya TV1 na TBC,

Waziri Mwakyembe alikutana na Alikiba na akaonja kinywaji cha Mo Faya ambacho kinamilikiwa na Alikiba.

Alikiba kazungumza kutotembea na Mkewe usiku, Yanga kukosa ubingwa

Soma na hizi

Tupia Comments