PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Wananchi waingia barabarani, wayazuia mabasi ya Mwendo Kasi

on

Leo October 10, 2018 Mradi wa usafirishaji wa abiria wa Mwendo kasi umelalamikiwa na abiria huku ukidaiwa kutotimiza lengo lililokusudiwa wakati wa uanzishwaji wake kitu kilichosababisha Wananchi kuingia barabarani kuyazuia.

Alice Tupa amefika katika moja ya vituo vya Mwendo kasi na anatuelezea hali halisi, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

BREAKING: Producer Pancho Latino amefariki Dunia leo

Soma na hizi

Tupia Comments