Top Stories

Wizara ya Lugola imetaja idadi ya waliofariki kutokana na ajali za Bodaboda

on

Inawezekana wewe ni miongoni mwa watumiaji wa usafiri wa vyombo vya miguu miwili (Bodaboda) na Bajaji , kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mhandisi Hamad Massaun amelieleza Bunge kwamba tangu mwaka 2008 hadi kufikia September 2018 vyombo hivyo vya usafiri vimesababisha jumla ya ajali 38,237 ambapo  watu waliopoteza maisha kutokana na ajali za bodaboda ni 8,237 na waliopoteza viungo vyao ni 37,521.

Lugola “Mashoga wapo salama nchini, anaetishwa aende Polisi”

Soma na hizi

Tupia Comments