Top Stories

“Rais amesema tumepigwa, tunahitaji Mwanasheria”-Waziri Kamwelwe (+video)

on

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa Mkoani Dodoma kwenye uzinduzi wa semina kwa Watumishi wa Viwanja vya Ndege nchini amewataka wasimamizi wote walio chini ya Wizara yake kuhakikisha wanasimamia kwa ukamilifu sekta zao ikiwemo usimamia udhibiti wa mafuta ya ndege.

MSIMAMO WA CCM JUU YA ISHU YA MEMBE NA DK. BASHIRU “CHUKI, UHASAMA” VYATAJWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA 

Soma na hizi

Tupia Comments