Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Vyuo 20 Duniani kukutana Tanzania kujadili uchumi

on

Leo May 17, 2018 tunayo story kuhusu Vyuo Vikuu vya Biashara 20 kutoka ndani na nje ya Africa ambavyo vitakutana katika kongamano la pamoja ili kushirikiana na kujadili jinsi ya kuyasaidia mataifa ya Kiafrika katika kuendesha shughuli za kibiashara ikiwemo sekta ya Viwanda.

Eveline Richard ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu UDSM ambapo pia ni Mwenyekiti wa kongamano hilo, akizungumzia umuhimu wa vyuo katika kukuza uchumi wa kibiashara kwenye nchi za Kiafrika.

Maamuzi ya IGP Sirro kwa RPC wa ‘Shambulio la Aibu, kujikoolesha’

Soma na hizi

Tupia Comments