PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Viongozi wa Idara ya Afya wagoma kuitwa ‘Boss’

on

Idara ya Afya katika Halmashauri ya Mji wa Masasi imepiga marufuku wafanyakazi wake kukubali kuitwa Boss na watu wanaowahudumia kwani neno hilo sio fasaha katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza bali ni slang.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benjamin Elias kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Halmashauri imewataka watumishi kutumia majina kama Mkuu, Kiongozi, Madam, Sirna mengineyo yanayoleta maana.

Baba Mzazi wa MO DEWJI “ni kweli Mwanangu ametekwa”

Soma na hizi

Tupia Comments