Top Stories

Musoma inazidi kunoga, panazidi kupendeza (+video)

on

Karibu kutazama maendeleo ya Mradi wa ULGSP ambao uko chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI Umefika katika Halmashauri ya Musoma hapa tunaonyeshwa mipango na Mikakati yao ya kuuboresha Mji wao.

Lengo kubwa la Mradi wa ULGSP ni kuboresha Miundombinu pamoja na huduma za kijamii kwa wananchi ambao ndio watumiaji wakuu na wanaotakiwa kuitunza Miundombinu hiyo.

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB KATAMBULISHWA

Soma na hizi

Tupia Comments