PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Kwa Wanafunzi waliokosa nafasi Vyuo Vikuu Nchini, Good news hii iwafikie

on

Kama wewe au mtu wako wakaribu ni miongoni mwa zaidi ya wanafunzi elfu thelathini na saba waliokosa nafasi ya kudahiliwa mwaka huu nchini bado unanafasi, Global Education Link wamenihakikishia kuwa milango ya udahili wa vyuo vikuu vya nje ya nchi bado ipo wazi tena kwa kozi zote mpaka mwezi wa kumi na moja.

Unaweza kufanya udahili muda huu huu kwa kubonyeza hii link hapa chini mtu wangu. http://www.gel.co.tz/GEL/CRS/noap/ind…

BREAKING: KIVUKO CHA MV. NYERERE KIMEZAMA KIKIWA KIMESHEHENI ABIRIA

Soma na hizi

Tupia Comments