AyoTV

Maamuzi ya Waziri Mkuu baada ya kukuta Viongozi wanajilipa Milioni 7, wengine laki na ishirini

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo June 1 2018 amefanya ziara katika kiwanda cha kutengenezea nguo cha Urafiki na kukuta matatizo mbalimbali likiwemo la kiwanda kutofanya kazi.
Majaliwa amesema kunatatizo la gepu kubwa  la mishahara kwa wafanyakazi ambapo viongozi wa juu wanajilipa Milioni  7 ila wa chini wanalipwa laki nne, hivyo atalifanyia kazi.

”Nahitaji maelezo yenu mpaka saa 12 jioni mnipe majibu”- Waziri Mkuu

Soma na hizi

Tupia Comments