Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Kabudi “Nimehuzunishwa sijathibitisha Azory Gwanda amefariki” (+video)

on

Leo July 12, 2019 Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi amekanusha kuthibitisha kuwa Mwandishi Azory Gwanda aliyetoweka tangu 2017 amefariki.

Prof. Kabudi amesema amenukuliwa vibaya na kuwa alichosema ni kwamba wapo watanzania waliopotea na waliofariki huku akisisitiza uchunguzi wa tukio hilo unaendelea.

LUGOLA “NIKUMBATIENI MIMI NI JEMBE ULAYA, NITALITUMIA JEMBE HILI”

Soma na hizi

Tupia Comments