Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Gigy Money amezungumza kataja sababu kuuficha ujauzito wake mpaka sasa?

on

Msanii Gigy Money amezungumza na kutaja sababu iliyosababisha yeye kuficha ujauzito wake wakati anafahamika kama mtu anayependa kupiga picha ambapo amesema kuwa amekuwa na akili imeongeza kwani amepunguza akili ya kukaa mtupu.

Pamoja na hilo Gigy amesema kwamba kuna Gift na kuna Gigy kwamba anapokuwa Gift anahifadhi mambo yake binafsi siyo kama ilivyokuwa zamani na amekuwa mtu wa kujihifadhi hayuko kama alivyokuwa miaka iliyopita..

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY

Ni kweli Gigy Money alitumiwa msg na Waziri hakujibu?

Gigy Money anahisi kwanini wengi hawaitwi BASATA?

Soma na hizi

Tupia Comments