PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

BREAKING: Kamanda Mambosasa azungumzia tena ishu ya MO DEWJI

on

Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa zinasema kuwa, mpaka kufikia mchana huu, mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ bado hajapatikana na kwamba juhudi za kumtafuta zinaendelea. 

Baba Mzazi wa MO DEWJI “ni kweli Mwanangu ametekwa”

Soma na hizi

Tupia Comments