Top Stories

MKAPA: “Afrika wananiuliza kuna nini huko Tanzania? nyinyi ni watu wa aina gani?” (+video)

on

Ni maneno ya Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa ambae leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake akiwa anatimiza umri wa miaka 80, akiwa Kanisani kwenye misa ya shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Imakulata Dar es salaam, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

.

Soma na hizi

Tupia Comments