Top Stories

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, amechukua time yake kwenda kurelax Simiyu

on

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akiwa kaongozana na mkewe Mama Anna Mkapa ametua Uwanja wa ndege wa Mwanza na baadaye kuelekea mkoa wa Simiyu kwenye mapumziko kabla ya kwenda kwenye maonesho ya Biashara na Kilimo nanenane, ambapo kitaifa maonesho yaho yanafanyika mkoa wa Simiyu na kilele chake ni August 8, 2018.

DC Jokate Mwegelo alivyovamia Msituni leo kufanya Operesheni

Soma na hizi

Tupia Comments