Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Gumzo la Umri wa mke wa Walter Chilambo, analelewa na mkewe..?

on

Baada ya mwimbaji wa Gospel Walter Chilambo kufunga ndoa hivi karibuni kulikuwepo maneno kuhusu umri wa mpenzi wake ambapo baadhi ya mashabiki walikuwa wanadai amezidiwa umri na na isitoshe mwanamke huyo ana mhudumia.

Sasa kupitia Ayo TV na Millardayo.com msanii huyo amezungumza kila kitu kuhusu hilo.

Bonyeza PLAY hapa chini

MUKI KAFUNGUKA: “Siwezi kufanya kazi na Fredy nilimbeba Makomando”

Soma na hizi

Tupia Comments