DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mama Lulu akitoka Mahakamani kwa majonzi baada ya Lulu kuhukumiwa (+picha 4)

on

Hizi ni picha zikiwaonyesha Wazazi wa Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” wakitoka Mahamani baada ya Mwigizaji huyo kuhukumiwa miaka miwili jela kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kusababisha kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba.

Wa kwanza kushoto ni Baba Mzazi wa Lulu na anaeonekana kashikiliwa ndio Mama Mzazi

FULL VIDEO: HALI ILIVYOKUA MAHAKAMANI BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA

VIDEO: LULU MAHAKAMANI KABLA YA KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI LEO

IMEFAHAMIKA: HAPA NDIPO ANAPOISHI DR. LUIS SHIKA, MAJIRANI WAONGEA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement