Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Naanzisha kitengo cha Intelijensia ambao wakikuangalia unalia mwenyewe’-Waziri Mwijage

on

Asubuhi ya October 24 2016  kipindi cha clouds 360 cha Clouds TV kilimkaribisha Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage ambapo ameelezea mpango aliouweka ili kudhibiti uingizaji na utengenezaji wa bidhaa feki nchini, Waziri Mwijage amesema……

>>>’Nimewaambiwa TBS naanzisha kitengo cha intelijensia, watu ambao wakikuangalia hivi unalia mwenyewe, watu wa fitina wale, akikuona lazima akuseme, lazima akushughulikie na ukienda mahakamani lazima akuseme, tunahitaji watu wa namna hiyo’

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

UNAWEZA PIA KUANGALIA HII YA WAZIRI MWIJAGE AKIELEZA TANZANIA YA VIWANDA ILIPOFIKIA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement