Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA: Kiatu ADIDAS walichomtengenezea Pogba kwa ajili ya mechi na Man City

on

Kampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani ADIDAS tayari imetengeneza kiatu maalum atachovaa mchezaji aliyeuzwa kwa gharama ya juu zaidi katika rekodi ya usajili Paul Pogba kwa ajili ya mchezo wa derby utakaochezwa weekende.

ADIDAS ambao wana mkataba wa udhamini na Paul Pogba wametengeneza kiatu maalum kwa ajili wa nyota huyo wa Ufaransa aliyejiunga na Man United akitokea Juventus.

Paul Pogba ametengenezewa viatu vyekundu kwa ajili ya mchezo wa September 10 dhidi ya wapinzani wa jadi wa Man United klabu ya Man City, mchezo huo ambao unatajwa kuwa na mvuto zaidi kutokana na upinzania wa makocha wa timu zote mbili utachezwa katika uwanja wa Old Trafford.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement