Top Stories

IMETHIBITISHWA: Mzee Majuto amefariki saa mbili kamili usiku

on

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Hospitali ya Muhimbili amethibitisha kwamba kifo cha Mchekeshaji maarufu wa Tanzania Mzee Majuto kimetokea saa mbili usiku, amefariki leo saa mbili kamili usiku na taratibu nyingine familia itatoa utaratibu unaweza kubonyeza hapa chini kumsikiliza zaidi

BREAKING: MZEE MAJUTO AWAJIBU WALIOMZUSHIA KIFO “MIMI SIOGOPI KUFA”

Soma na hizi

Tupia Comments