PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Wasukuma wanavyomkarimu Chief wao, kwenye siku yao maalum

on

Leo July 10, 2018 Chifu Edward Makwaia ni Mtemi wa 22, wa himaya ya Busiya kwenye Wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga, ambapo July 7, kila mwaka hufanyika tamasha la Kimila kukusanyika Viongozi pamoja na Wananchi kusherehekea huku wakijadili mila na tamaduni zao na kijadi Wasukuma huiita Sanjo ya Busiya, AyoTV, millaradayo.com ilikuwepo kwenye hilo tamasha.

Kilichosababisha TRA Mbeya na NIDA kuwapatia Machinga Vitambulisho

Soma na hizi

Tupia Comments