Premier Bet

Top Stories

Mangula “Mwanajeshi lakini alipata tabu, alikosa mahabusu” (+video)

on

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Philip Mangula amezungumza wakati Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athumani Hassan Ngwilizi ukiagwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini DSM ambapo ndipo umauti May 20 2019. Marehemu atazikwa kesho Mlalo – Lushoto Mkoani wa Tanga.

RAIS MAGUFULI AONGOZWA NA MKUU WA MAJESHI KUAGA MWILI WA JENERALI NGWILIZI

Soma na hizi

Tupia Comments