Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Haiwezekani na linaumiza sana, tutawashugulikia jumla jumla”-Dr Kijaji (+video)

on

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji amesema kuwa zimekuwepo baadhi ya Taasisi za Bank hapa nchini ambazo zimekuwa zikiendesha shughuli zake kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali ikiwemo kuwa na mikopo chechefu,

Dr. Kijaji ameahidi kuwashugulikia jumla jumla wale wote wanaokiuka taratibu hizo. “Serikali ya Rais Magufuli inafanya kila jitihada zote kuhakikisha watanzania wote wanapata mikopo kwa bei nafuu na hatutovumilia hata kidogo kuona watanzania wanaendelea kuumia kwa sababu ya watu wachache wasio wazalendo kwa kutofuata taratibu zilizowekwa na Serikali na tutashugulika na mmoja baada ya mwingine na ujumbe huu uzifikie Bank zote hapa nchini”

MAAJABU TANGA MAJI YANAYOCHEMKA, USHIRIKINA WATAWALA | NG’OMBE ZACHINJWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments