Top Stories

Mshindi wa shindano la kula pilipili

on

Leo July 9,2018 nakusogezea stori hii kutoka huko nchini China ambapo unaambiwa kuwa kijana Tang Shuaihui ndio mshindi wa shindano la kula pilipili mwaka 2018 katika shindano hilo linalofanyika kila mwaka nchini humo.

Tang Shuaihui ameibuka bingwa wa shindano hilo kwa mwaka 2018 baada ya kuwashinda wenzake kwa kula pilipili 50 ndani ya sekunde 68 tu na kuzawadiwa sarafu ya dhahabu.

Inaelezwa kuwa katika shindano hilo Daktari huwekwa tayari kabisa kwa ajili ya dharura yoyote ambayo inaweza kujitokeza.

SIFA ZA JOGOO ANAYEUZWA LAKI 8

 

Soma na hizi

Tupia Comments