PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Askofu Kakobe amwambia Rais Magufuli “Mimi ni mbishi sana, ole wako” (+video)

on

Haya ni maneno ya Askofu Kakobe mbele ya Rais Magufuli “Hata ungefanya kitu gani huwezi kusifiwa na Watu wote na MUNGU anasema kama utasifiwa na Watu wote basi ni ole wako, tumekusanyika kwa ajili ya ndege za ATCL ni jambo zito na kubwa lakini usitarajie Watu wote watakusifu, wengine watakusifu ukifa”.

LIVE: RAIS MAGUFULI AKIIPOKEA NDEGE MPYA AIRBUS A220-300

Soma na hizi

Tupia Comments