Premier Bet

Top Stories

Kipimo cha tahadhari ya Ebola kufanyika mpakani mwa Tanzania na Kenya “msiogope” (+video)

on

Tukio la kutengeneza linaloandaliwana na Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na wadau wengine litafanyika katika mpaka wa Tanzania na Kenya mwezi ujao linataraji kuwa la aina yake ambapo Wananchi wametakiwa kutoogopa tukio hilo kwani litakuwa la kujiweka sawa ili kupambana na magonjwa ya milipuko kama Ebola endapo litatokea.

HD VIDEO: RAIS MAGUFULI ATOA AMRI KWA VIONGOZI “NAWAPA MWEZI MMOJA WOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments