Premier Bet

Top Stories

RC Mwanri “Usimwambie DC akusikilize kibao kitageuka, mnatembeza ubabe” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametengua maamuzi ya Kijiji cha Goweko Wilaya ya Uyui baada ya kubaini hujuma kwa Viongozi  iliyopelekea kumpokonya mjane viwanja 10 anavyomiliki.

RC Mwanri ameagiza Mama huyo kurejeshewa viwanja vyake “Nimetengua narudisha viwanja vya mama pale,tusianze kuendesha Halmashauri kibabe lazima tuwasikilize wananchi”.

SHULE YENYE MIAKA 52 KATIKA MUONEKANO WA ZAMANI NA ILIVYO SASA

Soma na hizi

Tupia Comments