Premier Bet

Top Stories

Kamanda aanza kutekeleza agizo la JPM, ndani ya dakika 72 majambazi wawili wauawa (+video)

on

Kamanda Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shanna amesema ameanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kuwalinda Wafanyabiashara ameyasema hayo katika tukio ambalo Jeshi hilo limefanikiwa kuwaua majambazi wawili waliokuwa wanapambana na Askari katika Wilaya Ngorongoro.

UNAMFAHAMU VIZURI IDI AMINI? SOMA MAMBO HAYA 10 UBAKI MDOMO WAZI!

Soma na hizi

Tupia Comments