Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Mo Music kuhusu Marlaw

on

Msanii kutoka bongoflevani Mo Music ambae anafanya vizuri kwenye game kwa sasahivi na hit song yake ya ‘Ado Ado‘, Mo Music amekutana na camera za AyoTV na katika machache aliyongea amefunguka juu ya mwanamziki mkongwe Marlaw ambae amekuwa kimya kwa mda mrefu na ameelezea kuwa anatamani msanii huyo arudi tena kwenye game kama zamani.

Maneno ya Mo Music kumhusu Marlaw nimekusogezea na video mtu wangu unaweza kuitazama hapo chini, pia usisahau kuniachia comment yako na wewe unalionaje hili ili Marlaw akipita akutane na mawazo yako.

‘Mimi natamani sana Marlaw arudi kama zamani, ni moja ya wasanii ambao waliniinspire pia ni mmoja kati ya artist ambao kiukwel anaheshima yake kwenye game, nilipata mawasiliano nae hivi karibuni na…’

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MAJIBU YA CHID BENZ KUHUSU KURUDIA MADAWA YA KULEVYA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement