Tangaza Hapa Ad

Video: Mo Music anamuangalia nani kama Role Model wake kwa Bongo


Leo October 20 2016 nakukutanisha na hii stori ya mkali kutoka Bongoflevani Mo Music mkali anayezichukua headline kwa sasa kupitia mdundo wake wa Ado Ado, leo Mo Music amelezea ni msanii gani kwa Bongo anamuangalia kama Role model wake.

Mimi nawaangalia wengi kwa sasa natunapata insparation kutoka kwa watu tofauti tofauti inanifanya niwe mgumu kutaja kwasababu kwa hapa Bongo sijaona mtu ninaye muangalia kwenye uimbaji lakini kwa vocal yupo msanii ninaye muangalia sema hajulikani anaitwa ┬áJason Mranzi‘>>>Mo Music

ULIMISS HIZI NGOMA KALI KUTOKA BONGOFLEVANI ANAZOZIKUBALI GODZILLA ITAZAME HII VIDEO….

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement