Tangaza Hapa Ad

behind the scenes

VIDEO: Nyuma ya camera tukionyeshwa wanavyotengeneza Filamu za Action huko kwa Trump

on

Leo ni alhamisi na sio mbaya kujikumbusha vitu ambavyo labda wengine hatuvijui au hatujazoea kuviona na ndio maana millardayo.com inakukutanisha na behind the scene jinsi Wamarekani wanavyotengeneza filamu zao.

Hii video hapa chini inatuonyesha jinsi moja ya filamu za Fast and Furious ilivyokua ikitengenezwa ambapo kuna sehemu unaonyeshwa gari linaruka kutoka gorofa moja hadi jingine, mtu anaruka kutoka kwenye gari moja hadi jingine, kila kitu tumeonyeshwa nyuma ya camera kwenye hii video hapa chini

Video nyingine hii hapa chini

BONGO MOVIE: Mume kaenda kazini, Wife kaleta Mchepuko nyumbani….. tazama kwenye hii video hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement